MTANGAZAJI

OMBI KWA WASIKILIZAJI WANGU

Siku ya leo nimefurahi sana kupata maoni ya msingi,changamoto na yenye kujenga kutoka kwa mdau mmoja wa blog hii aliyeko Frolida,Marekani.Katika kuhakikisha kuwa blog hii inawafikia watu wengi zaidi na kuwafahamisha mambo yenye kujenga nawaomba wadai wote tushirikiane kwa jambo lolote mnaloona kuwa linatia moyo waweza kuniandikia moja kwa moja kwa anuani yangu ya blog hii ambayo ni maduhu@gmail.com ama kwa namba yangu ya kiganjani ambayo ni +255 713 309314

BWANA AWABARIKI SANA

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.