JIJINI DAR ES SALAAM
Samahani sana wasikilizaji wangu kwa kutokuwa nanyi kwa muda mrefu sasa,kwa sasa niko hapa jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuongeza maarifa katika fani hii ya tekelinalokujia na nikiwa nasikika kwa wasikilizaji kupitia masafa ya 105.3 fm Morning Star,mambo ni mengi na muda mi mdogo kwa hiyo kunachangamoto zake ila natumaini Mungu mweza wa yote atanipigania.
Natumaini nitakuwa nanyi nikiwaletea yanayojili hapa jijini
BWANA AWABARIKI SANA KWA KUNIOMBEA
Natumaini nitakuwa nanyi nikiwaletea yanayojili hapa jijini
BWANA AWABARIKI SANA KWA KUNIOMBEA
Post a Comment