MTANGAZAJI

APIGWA RISASI NA ALIYEMPA LIFTI

 

Dreva aliyempa msaada wa usafiri abiria amelazwa hospitalini baada ya kupigwa risasi katika tukio la unyanganyi alilofanyiwa na abiria huyo Kaskazini mwa Manispaa ya Harris jijini Houston,Marekani.

Afisa wa Polisi Ed Gonzalez ameeleza kuwa Tukio hilo limetokea jioni Jumatatu ya Novemba 29 ,2021 katika nyumba namba 400 Magharibi mwa Barabara nambari 1960.

Gonzalez amesema dreva alimchukua abiria huyo kisha alimpiga risasi akijaribu kumfanyia unyang'anyi na kisha mtuhumiwa kuondoa kwa mguu katika eneo hilo,na baadaye dreva alipelekwa hospitalini ambako hali yake inaendelea vyema.No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.