RAIS WA TANZANIA AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC
Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dodoma. |
Post a Comment