SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL LAZINDUA SAFARI ZA NDEGE KUTOKA DAR ES SALAAM HADI GEITA.
Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ikiwasili
katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo, Januari 9 2020 ikiwa ni uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani Geita.
katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo, Januari 9 2020 ikiwa ni uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani Geita.
Post a Comment