MTANGAZAJI

POLISI WATOA VIDEO IKIMUONESHA MUUAJI WA DAYTON ,OHIO KABLA NA WAKATI WA TUKIO (+VIDEO)


Polisi katika mji wa Dayton,Ohion,Marekani  inasema mshambuliaji Mwenye bunduki alitumia dakika 32 kwa kuwapiga risasi watu 26  ikiwa ni siku tisa baada ya tukio hilo lililotokea Agosti 4,2019.

Video hiyo iliyochunguzwa na maafisa 6 wakiwemo wa FBI ilirekodiwa na Camera zinazotunza matukio mbalimbali katika eneo hilo ikiwa na ukubwa wa 250 GB.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.