ANGALIZO KWA WANAOINGIA KWENYE NDOA HILI HAPA (+VIDEO)
Mhadhiiri wa Chuo Kikuu cha Arusha (UOA) na Mshauri wa Masuala ya Kaya na Familia Mch Paul Semba ametoa angalizo kwa watu wanaotarajia kufunga Ndoa na hata walioko kwenye ndoa kuweka mipaka ya mahusiano na watu wengine ikiwemo Wazazi,Walezi na Ndugu katika kuleta usitawi wa wanandoa husika.
Post a Comment