Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akikata utepe kuashiria uzinduzi wa safari za Dar es salaam-Mumbai za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Chhatrapati Shivaji In Mjini Mumbai nchini India |
Post a Comment