MTANGAZAJI

AIR TANZANIA YAZINDUA SAFARI YA KWANZA YA MUMBAI (+PICHA)


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Mhandisi Isaack Kamwelwe akikata utepe wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya Mumbai nchini India kwa ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Ndege ya kwanza ya Air Tanzania imeondoka Julai 17, 2019 kuelekea Mumbai, nchini India.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya Mumbai nchini India kwa ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika.

Mkurugenzi Mtendaji wa Air Tanzania, Ladislaus Matindi akizungumza
wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya Mumbai nchini India kwa Ndege ya Air Tanzania i


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.