Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo wakati akiondoka
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Afrika
ya Kusini leo ambapo kesho atahudhuria sherehe za kuapishwa
kwa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa mjini Pretoria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati
wakiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
tayari kuelekea Afrika Kusini leo ambapo kesho watahudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa mjini
Pretoria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa ameongoza na na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula
wakielekea kwenye ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Myerere jijini Dar es salaam tayari kuelekea Afrika Kusini leo ambapo kesho watahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi
hiyo Cyril Ramaphosa mjini Pretoria
Picha na IKULU
Post a Comment