RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI NCHINI AFRIKA KUSINI KWA AJILI YA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS (+PICHA)
Rais wa
Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili
ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei
25,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa
kwenye ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) wakielekea Nchini
Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.
Picha na Ikulu
Post a Comment