WALICHOKISHUHUDIA WAIMBAJI WA GOSPEL FLAMES QUARTET TOKA TANZANIA HUKO UFILIPINO
Mamia ya waumini wa Kanisa la Waadventista wa Sabato huko Ufilipino wameshuhudia tukio la ubatizo wa kwanza kwenye mkutano wa Injili unaoendeshwa na Mch Geoffrey Mbwana toka Marekani na waimbaji wa Gospel Flames Quartet toka Tanzania
Post a Comment