MTANGAZAJI

SERIKALI YAWATAKA WANA ATAPE KUWA NA NJOZI ZA KUFANYA MABADILIKO KATIKA NYANJA YA UCHUMI TANZANIA (+VIDEO)Aprili 18,2019 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Wizara ya Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde alifanya Ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Chama cha Wanataaluma na Wajasiriamali Waadventista nchini Tanzania (ATAPE),yaliyofanyika mjini Bariadi ambapo aliitaka ATAPE kuwa na njozi za kufanya mambo makubwa yanayoleta tija  katika nyaja za uchumi  kwa Chama hicho nchini Tanzania.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.