MTANGAZAJI

MKUU WA MKOA WA SIMIYU ANTONY MTAKA ATOA SOMO KWA WANA ATAPE (+VIDEO)


Aprili 18,2019 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka  kwenye Ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Chama cha Wanataaluma na Wajasiriamali Waadventista nchini Tanzania (ATAPE),yaliyofanyika mjini Bariadi alitoa maelekezo yanayoweza kuleta tija kwa Chama hicho nchini Tanzania.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.