MCHUNGAJI CALEB MIGOMBO ATOA NENO ZITO KWA WAZAZI NA WALEZI (+VIDEO)
Mtaalamu na mshauri wa masuala ya Kaya na Familia mwenye makazi yake nchini Marekani Mch Caleb Migombo anawataka wazazi na walezi kuwafundisha watoto wao kufanya kazi maana ni faida kwa maisha yao ya baadaye.
Mchungaji huyo mwenye watoto wa kike watau amesisitiza kuwa wazazi na walezi kutowafundisha watoto wao na kutegemea wafanyakazi wa nyumbani ni kuwaandaa watoto wao kuwa wanaume ama wanawake wasiofaa kwa mtu yeyote ama kwao wenyewe.
Post a Comment