MTANGAZAJI

AMANI NA UPENDO TANZANIA GROUP WAKABIDHI DVD YA NYIMBO ZA KIJAMII KWA SERIKALIMwalimu wa Kikundi cha Amani na Upendo Tanzania  Felix Makachayo akikabidhi DVD yenye nyimbo zinazoelimisha Jamii kuhusu matumizi madawa ya kulevya ,utoaji rushwa kwa mwakilishi kutoka wizara ya Habari kwa ajili ya kumpatia  Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dr John Magufuli. Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi Wa VIP uliopo ndani ya uwanja Wa taifa Dar es salaam.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.