DAR ES SALAAM:MIKUTANO YA TMI YA WAADVENTISTA WA SABATO YAZINDULIWA RASMI
Msaidizi wa Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato katika Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati Dr Joel Okindo |
Kutoka kulia ni Dr Joel Okindo,Mch Mark Walwa Malekana Mwenyekiti wa Jimbo Kuu la Kusini Mwa Tanzania na Mch Joseph Mngwabi Mwenyekiti wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania |
Dr Lukas Rugemalila Nzugu alipotoa hotuba yake ya kwanza |
Mkutano huo ambao pia utakuwa unarushwa na Morning Star Radio na Morning Star TV mubashara unaungana na matukio ya matendo ya huruma yanayoendelea kutolewa na kanisa hilo katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
Post a Comment