PICHA: KATIBU MKUU WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO DUNIANI ALIPOMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA ARUSHA
Katibu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani GT Ng katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ofisini kwake |
GT Ng katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa Arusha,wengine ni viongozi wa Jimbo la Kaskazini Mashariki mwa Tanzania na Jimbo Kuu la Kaskazini mwa Tanzania katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato |
Post a Comment