MTANGAZAJI

PICHA:UZINDUZI WA SANTURI YA NNE YA KWAYA YA UMOJA ILIYOKO RALEIGH NCHINI MAREKANI









Waimbaji wa Kwaya ya Umoja ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato huko Raleigh,Marekani Septemba 24,2016 walifanya tamasha la uzinduzi wa santuri yao nambari 4 uliofanyika katika Kanisa la Maranatha huko New Jersey nchini humo.

1 comment

Stellah Nyakeri said...

It's a blessing to see you involved in the third angel's message. May God bless you all as you sacrifice your time in his vine yards have been blessed with songs that you post Jemo.

Mtazamo News . Powered by Blogger.