DAR ES SALAAM:WAIMBAJI WA KWAYA YA UBUNGO HILL WAFUNGA NDOA
Jana
ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa waimbaji wawili wa Kwaya ya Waadventista ya Ubungo Hill jijini Dar es salaam, Eliezer na Dorah
kwa kufunga pingu za maisha kwenye ibada ilifanyika katika kanisa hilo.Huku hafla ya kuwapongeza ikifanyika katika Ukumbi wa Law School,
Mawasiliano jijini Dar Es Salaam.
Post a Comment