DAR ES SALAAM:REMNANT GENERATION SINGERS BAADA YA KUTOKA MAREKANI SASA WAELEKEA RWANDA
Waimbaji wengine wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato wanaounda kundi la Remnant Generation Singers (Reges) toka jijini Dar es salaam wameondoka kuelekea nchini Rwanda kwa ziara ya siku tatu nchini humo.
Kiongozi wa waimbao hao ambao ni wiki iliyopita tu walikuwa nchini Marekani huko Leominster Boston kwa Mkutano wa Umoja wa Watanzania Waadventista Wa Sabato waishio nchini Marekani (TAUSI) Mama Matinde amesema ziara hiyo wataitumia katika kutangaza injili kwa njia ya Uimbaji.
Post a Comment