DAR ES SALAAM:ANGEL MAGOTI ALIVYOIMBA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA NDOA YA RAIS MSTAAFU WA TANZANIA BENJAMINI MKAPA
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini Tanzania Angel Magoti (Picha ya Kwanza) hivi karibu alipata nafasi ya kuimba kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya ndoa ya Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa ambayo pia ilihudhuriwa na marais wastaafu,Mawaziri Wakuu Wastaafu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli
Katika tukio hilo Angel Magoti aliimba nyimbo sita.
Post a Comment