MTANGAZAJI

MBEYA:MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA PANDAHILL PATAKAPOCHIMBWA MADINI ADIMU DUNIANI KABLA YA KUANZA UCHIMBAJI

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla mwenye suti ya kaki akitembezwa na mwenyeji wake Mkurugenzi wa kampuni ya Pandahil limited ndg Derick ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya  adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya .(Picha E.madafa, D.Nyembe)

Mkurugenzi wa kampuni ya Pandahil limited ndg Derick ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya  adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla aneo ambalo litachimbwa madini hayo.

Ramani ya mradi

Mkurugenzi wa kampuni ya Pandahil limited ndg Derick ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya  adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla ramani itakayotumika katika mradi huo

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akizungumza jambo na viongozi wa kisiasa,  kamati ya Ulinzi na usalama wilaya ya mbeya, uongozi wa  kampuni ya Pandahil limited  ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya  adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya

Mwakilishi    wa kampuni ya Pandahil limited  Mbeya Emanuel Kisasi  ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya  adimu aina ya Niobium akizungumza na waandishi wa habari katika eneo la mradi   eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya

Eneo ambalo litahusika kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya  adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.