WAIMBAJI WA LIGHTBEARERS JIJINI NAIROBI HII LEO
Waimbaji wa LightBearers toka jijini Dar es salaam wakiimba leo kwenye Kanisa la Waadventista Wa Sabato New Life la jijini Nairobi leo asubuhi |
Hapa wakiimba katika Kanisa la Lovington jijini Nairobi,Kenya leo mchana ambapo kesho kuanzia saa 8 mchana kutakuwa na Tamasha la Uimbaji kanisani hapo utakaohusisha waimbaji wengine toka jijini Nairobi |
Mwimbaji wa Kwaya ya Nairobi Ensemble Choir Dorine Katiba Achia (Mwenye gauni la Vitenge)akiwa na Waimbaji wa LightBearers |
Mkurugenzi na mwimbaji wa LightBearers Waziri Barnabas (Mwenyetai Nyeusi) katika picha ya pamoja na baadhi ya Marafiki wa kundi hilo walioko Kenya na Tanzania |
Post a Comment