BABATI:WAZIRI NAPE NNAUYE ATAKA WAADVENTISTA WA SABATO KUELIMISHA JAMII
Mkutano wa Walei wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Unioni Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania inayofanyika Babati umefungwa Leo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe: Nape Moses Nnauye, akiambatana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Mh Joackimu Maswi. Mh Nape amelisifu kanisa la WaAdventista kwa kazi nzuri na kuwapa charge walei kuielimisha jamii na kufuata mfano wa Yesu Kristo
Post a Comment