PICHA:RAILA ODINGA AMTEMBELEA RAIS DKT. MAGUFULI NYUMBANI KWAKE CHATO MKOANI GEITA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha
Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga nyumbani kwake Chato mkoani Geita
mara baada ya Kuwasili
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akikumbatiana na Waziri Mkuu wa mstaafu wa Kenya Raila Odinga mara
baada ya kuwasili nyumbani kwake Chato Mkoani Geita.
|
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga akisalimiana na
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya kuwasili Chato.
|
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga akisalimiana na
mama mzazi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Bi Suzana Joseph Magufuli mara
baada ya kuwasili Chato Mkoani Geita.
|
Post a Comment