MAKAMU WA KIONGOZI MKUU WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO DUNIANI AWASILI JIJINI MBEYA
Makamu wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Mchungaji Geofrey Gabriel Mbwana (wapili toka kulia) yuko jijini Mbeya akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanataaluma na Wajasiriamali Waadventista nchini Tanzania (ATAPE) ulioanza leo ambao unafanyika kwenye Ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini humo.
Post a Comment