MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:VIJANA WAANDAA MSAFARA WA HISANI KWA KUTUMIA MAGARI KUPINGA UJANGILI NA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI

Mkurungezi mtendaji wa Bongo Ride Idrisa Magesa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuelezea makamilisho ya maandalizi ya msafara wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha  ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha utalii wa ndani,kulia kwake ni Meneja Mawasiliano wa BRCC Krantz Mwantepele na kushoto kwake ni Mkuu wa matukio Kelvin Edes,Pembeni yake ni Mkurungezi wa Teamtezza Kennan Richard.
Meneja Mawasiliano wa BRCC Krantz Mwantepele akiongea na waandishi wa habari kuelezea kukamilika kwa maandalizi ya msafara wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ) utaofanyika kuanzia tarehe 25 -27 machi ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha  ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha utalii wa ndani,kulia kwake ni Meneja Mawasiliano wa BRCC Krantz Mwantepele na kushoto kwake ni Mkuu wa matukio Kelvin Edes,Pembeni yake ni Mkurungezi wa Teamtezza Kennan Richard
Wawakilishi wa Bongo Ride charity cruise wakisikiliza kwa makini maswali ya waaandishi wa habari katika mkutano huo kuhusu kuhusu ya msafara wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha  ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha utalii wa ndani.

Meneja Mawasiliano wa BRCC Krantz Mwantepele akiteta jambo na Mkurungezi mtendaji wa Bongo Ride Idrisa Magesa wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuelezea kukamilika kwa maandalizi ya msafara wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ) utaofanyika kuanzia tarehe 25 -27 machi ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha  ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha utalii wa ndani.

Mkuu wa matukio Kelvin Edes ( Wa kwanza kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu ya msafara wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha  ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha utalii wa ndani.

Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo wakifuatilia maelezo ya wawakilishi  wa Bongo ride charity cruise kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya msafara wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) utaofanyika kuanzia tarehe 25 -27 machi ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha  ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha utalii wa ndani
Vijana wa Bongo Ride, kwa ushirikiano wa vijana wenzao wa Team Tezza na TanzaniaZalendo wanayo furaha kuwatangazia umma wa watanzania kukamilika kwa maandalizi ya msafara(cruise) wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ) utaofanyika kuanzia tarehe 25 -27 machi ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha  ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha utalii wa ndani.
 
Ujangili hapa nchini kwa miaka ya hivi karibuni umeongezeka ikiwa ni matokeo ya mahitaji makubwa  ya pembe za ndovu,pembe za kifaru na pia ngozi ya chui na bidhaa mbalimbali za wanyamapori.
Hivi sasa biashara ya wanyamapori na rasiliamali za asili imeshika nafasi ya nne kwa biashara haramu inayowafaidisha wengi duniani,baada ya madawa ya kulevya ,silaha na usafirishaji wa binadamu inakadiliwa kuwa na thamani ya dola zaidi ya 284 billion za kimarekani.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.