MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:ZAHANATI YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO YA TEMEKE YAANZA KUTOA MATIBABU KIELEKRONIKI

Zahanati ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato iliyoko Temeke katika Konferensi ya la Kusini Mashariki mwa Tanzania (Sec), imeanza kutoa huduma kwa njia ya Kielektroniki  ambapo Mgonjwa akishatoa maelezo ya awali mapokezi inatosha yeye kuanza kupata huduma na hapaswi kuhangaika kwenye korido kutafuta mlango wa Daktari bali Mgonjwa atasubiri kuitwa kwenda kwenye vipimo.

Zahanati hiyo pia imeanza kutoa huduma mbali mbali kwa vifaa vya kisasa
"Ingawa kituo kinakabiliwa na changamoto ya marekebisho ili kipandishwe hadhi na kuwa kituo cha Afya ambapo kwa sasa ni Zahanati" amesema Dk. Mwaibasa Mkurugenzi wa Idara ya Afya Konferensi ya Kusini Mashariki mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato.

1 comment

Unknown said...

Ninabalikiwa daima na roho yenu ya utendaji kazi kanisa la Temeke. Mungu azidi kuwainua juu mzidi kuwa mfano wa watoaji huduma mbingu zikusudiavyo siku zote.

Mtazamo News . Powered by Blogger.