ARUSHA:RAIS MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA WAHITIMU CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MONDULI
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Davis Mwamunyange wakati alipowasili katika
chuo cha Maafisa wa Kijeshi Monduli Mkoani Arusha kwa ajili ya
kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa Jeshi kwa cheo cha Luteni Usu,
anayetazama katikati ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Paulo Peter
Massao.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akiwasili kwenye
viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kwa ajili ya kuwatunuku
Kamisheni Maafisa wapya wa jeshi kwa cheo cha Luteni Usu.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kutunuku Kamisheni
kwa Maafisa wapya wa Jeshi katika viwanja vya Chuo hicho.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa
Maafisa wapya
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiangalia gwaride lililokuwa likipita mbele yake
kutoa heshima.
Gwaride
la Wahitimu likipita kutoa heshima mbele ya mgeni rasmi Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli .
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya
Kijeshi cha Monduli Meja Generali Paulo Peter Massao.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akimpa zawadi mmoja wa wanafunzi aliyefanya vizuri
O/Cdt. Mmang’anda katika Mafunzo hayo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wapya hawapo pichani .
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akisoma jarida la Ngome baada ya kukamilika zoezi
la kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa Jeshi.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wapya aliowatunuku
Kamisheni pamoja na viongozi wa ngazi za juu wa Jeshi la Wananchi.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo na watoto waliofika kushuhudia
tukio hilo la kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wapya wa Jeshi. Picha na
IKULU
Post a Comment