Hii ndiyo kwaya ya Umoja Central iliyoko Raleigh,USA ambayo inaundwa na waimbaji toka Kenya na Tanzania santuri yake Mwonekano Mpya itatoka rasmi Februari 2016,Kwaya hii ilianza kufundishwa na Mwalimu Mapesa Kambila toka Dar es
salaam,Tanzania kwa sasa mwalimu ni James Owino toka Kenya
Post a Comment