PICHA:DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ALIVYOAPISHWA LEO KUWA RAIS WA TANZANIA WA AWAMU YA TANO
| Dr John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride kwa mara ya kwanza baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania wa awamu ya tano |
| Dr John Pombe Joseph Magufuli akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Mohamed Chande leo Novemba 5,2015 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. |
| Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Mohamed Chande |
| Rais Mstaafu Dr Jakaya Mrisho Kikwete akipunga mkono wa kuaga |
| Viongozi wa madhehebu ya dini waliokuwepo kwenye sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano |
| Baadhi ya Viongozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria wakiwa katika jukwaa kuu |
| Rais wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli akipongezana na mkewe baada ya kuapishwa leo Novemba 5,2015 kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaa. |

Post a Comment