ARUSHA:TNRF WAMTAKA MAGUFULI ADHIBITI UPOTEVU WA MALIASILI NCHINI
Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) ,Dr.Suma Kaare akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Mkurugenzi wa Shirika la Haki kazi Catalyst Alais Moridant akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Mkurugenzi wa Shirika la AWF ,John Salehe akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Viongozi mbalimbali wa jumuiko la maliasili wakiwa katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja, ,mkutano huo ulihudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.

Mwakilishi wa Shirika la WWF ,Sware Semesi akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.
Wasemaji Wakuu wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha zote na Gadiola Emmanuel

Mwenyekiti
wa Jumuiko la Maliasili nchini Dr.Suma Kaare amemtaka Raisi John Pombe Magufuli
adhibiti upotevu wa mali asili za wanyama pori na misitu uliokithiri katika
maeneo mengi nchini ili kunusuru uhai wa maliasili.
Suma Kaare
amesema hayo katika mkutano wa 7 wa
jumuiko la maliasili unaoendelea jijini
Arusha,Kaare amesema kuwa jukwaa hilo litashirikiana na Rais huyo katika kuhakikisha kuwa maliasili zinalindwa na
kuwanufaisha Watanzania kwa kiwango stahiki.
Mratibu wa
Masuala ya misitu katika shirika la uhifadhi wa maliasili na Mazingira (wwf)
,Isaac Malungu amesema kuwa asilimia 90% ya nishati inayotumika nchini
inatokana na kuni pamoja na mkaa hali ambayo inaathiri misitu na kutishia uhai
wa maliasili nchini hivyo ameitaka serikali ihimize matumizi ya nishati mbadala
ili kunusuru mazingira yanaoharibiwa kila kukicha.
Malungu alisema
kuwa kilimo cha kuhama hama pamoja na ukataji miti ovyo umekua ukisababisha
uharibifu wa mazingira na hata kupelekea hecta laki 4 za misitu kupotea kila
mwaka kutokana na shughuli hizo.
Mkurugenzi
wa Shirika la AWF,John Salehe Alisema
kuwa mabadiliko ya tabia ya nchi yamesababisha hali ya ukame inayowaathiri
wanyama pamoja na mimea hivyo kuathiri uhifadhi kwa ujumla .
Salehe
alisema kuwa juhudi zaidi zinapaswa kuchukuliwa ikiwemo upandaji wa miti pamoja
na kutunza misitu ili kurejesha uoto wa asili uliopotea.
Post a Comment