SIKILIZA ALICHOELEZA SHEIKH MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWA WANASIASA NA WANANCHI WA TANZANIA
Mwenyekiti wa Kamati ya amani ya Madhehebu ya dini Mkoa wa Dar es Salaam ambaye ni Sheikh Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam , Alhad Mussa Salum (pichani) ameeleza mambo ambayo viongozi wa siasa na watanzania wanapaswa kuyafanya baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania hasa katika kudumisha amani nchini humo.
Sheikh Alhamad Musa Salum alikuwa miongoni mwa viongozi wa dini nchini waliohudhuria Hafla ya kukabidhi cheti cha ushindi wa Rais 2015 zilizofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubillee jijini Dar es salaam leo
Post a Comment