PWANI:TAARIFA YA CHANZO CHA KIFO CHA MCH CHRISTOPHER MTIKILA TOKA KWA KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA PWANI IKO HAPA
Mchungaji Christopher Mtikila enzi za uhai wake |
Taarifa zilizothibitishwa na mgombea Ubunge jimbo la Iringa Mjini na mwenyekiti wa DP Mkoa Robert Kisinini wakati akizungumza na vyombo vya habari leo amesema ni kweli mwenyekiti wake huyo amefariki dunia.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Kamishina Msaidizi Jafari Mohamed Ibrahim amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza chanzo cha ajali katika mahojiano na Mwandishi wa Habari Masau Bwire sikiliza hapa,
Post a Comment