HIKI NDICHO ALICHOSEMA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI NCHINI TANZANIA KUHUSU MATOKEO YA URAIS MWAKA 2015 WANAYOENDELEA KUYATANGAZA
Jaji Mstaafu Damian Lubuva akitangaza matokeo ya Kura za Urais hii leo katika kituo cha kutangazia matokeo cha Mwalimu Julius Nyerere Convetion Center jijini Dar es salaam |
Waandishi wa Habari wakifuatilia |
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC) imetoa msimamo wake kuhusu utoaji wa matokeo ya Urais nchini inaoendelea kuufanya hivi sasa jijini Dar es salaam kuwa itaendelea na utaratibu huo kama ilivyopanga na haina upendeleo na upande wowote.
Msikilize Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa msimamo huo
Post a Comment