ZANZIBAR:UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Demokrasia
wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama
hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mjane wa Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa
Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama
hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa
Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda
Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho
tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Mhe. Amani Abeid Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti
mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala
za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Umati wa watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Ndege
ndogo ikipita juu ya Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za
chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13,
2015
Mgombea
Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili
katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga
vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais Kikwete akimlaki Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM
ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali
Mohamed Shein akiwasili katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti
mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni
za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba
13, 2015
Mama
akisaidiwa kwenda kupata huduma ya kwanza baada ya kuhemewa na gharika
ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja
wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Utenzi
ukisomwa kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja
wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais
Kikwete, mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakiwa na furaha katika
Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga
vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais Kikwete, mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakiwa na furaha
katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga
vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Kada
mashuhuri wa CCM Visiwani Zanzibar Mzee Borafia akiongea katika Uwanja
wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi
wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais
Kikwete akimpongeza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Mohamed
Gharib Bilali baada ya kuhutubia katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda
Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015
Rais
Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume akihutubia kwenye Uwanja
wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015.
Viongozi
wakiwa jukwaa kuu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Wanahabari
wakirekodi tukio hilo la kihistoria kw kila aina ya vifaa vya kisasa
ikiwemo drone ya kupigia picha kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda
Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho
tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg. Vuai Ali Vuai akisoma ratiba ya
mkutano
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubia umati
kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa
uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa
Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Post a Comment