MTANGAZAJI

MARA:MATOKEO YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA KONFERENSI YA MARA YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO HAYA HAPAWaliochaguliwa kuongoza Konferensi ya Mara kwa kipindi cha miaka mitano ijayo katika uchaguzi ulifanyika leo.

MAAFISA:
1. Mwenyekiti :George Ojwang
2. Katibu: Enock Sando
3. Mhazini: Eliamini Kisimbo 

WAKURUGENZI:

1. Katibu wa Wachungaji: Daniel Muhono
2. Shule Sabato na Huduma Binafsi:Wina Malagila
3. Vijana: Mukama Nyamajeje
4. Uwakili: Philipo Ndikumwami
5. Mawasiliano: Joseph Matondo
6. Wanawake na Watoto: Rosemary Biseko
7: Uchapishaji: Benjamin Daudi
8. Chaplensia: Shukrani Mutaki
9. Elimu: Dunford Oyuke
10. Afya: Dr. Mussa Mbuga

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.