MTANGAZAJI

ARUSHA:PICHA TATU TOKA KATIKA KIBARAZA CHA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA NETC

Mwenyekiti wa Unioni Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Dr Godwin Lekundayo akiongoza kibaraza cha uchaguzi cha kuchagua viongozi wa Konferensi ya Kaskazini Mashariki Mwa Tanzania jioni ya leo katika Mkutano mkuu wa Konferensi hiyo unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Arusha

 
 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.