MTANGAZAJI

NAIROBI:KWAYA YA KIJENGE WALIVYOSHIRIKI HUDUMA YA UIMBAJI JIJINI NAIROBI

Waimbaji wa Kwaya ya Kijenge toka Arusha,Tanzania wakiimba kwenye ibada ya makambi yaliyofanyika katika Kanisa la Ngong Hills Central Nairobi,Kenya
Kwaya ya Kijenge ikiwa katika studio za Hope Channel Africa zilizopo Ongata Rongai yalipo makao makuu ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati (ECD)kwa ajili ya kurekodi nyimbo

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.