MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA NATIONAL DEFENCE HEADQUARTERS


 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kitambaa wakati wa uwekaji jiwe la msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange,Watatu Kushoto ni Waziri wa Ulinzi Dkt.Huessein Ali Mwinyi na kulia ni Bwana Hu mwakiklkishi wa kampuni ya ujenzi kutoka China. (Picha na Freddy Maro).
 

 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.