MTANGAZAJI

SIKU MAALUM YA WAGENI KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO KIMARA

Itakuwa ni siku maalum ya wageni ya wageni itayofanyika katika kanisa la Waadventista Wa Sabato Kimara ambapo kutakuwa na ugeni maalum toka kituo cha Watoto yatima cha Don Bosco jijini Dar es salaam pamoja na watu mbalimbali .

Kutakuwa na uimbaji toka kwa Miriam Chirwa,Mwenge SDA Choir,Children of God,Kimara Youth Choir na Kimara SDA Choir.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.