PICHA:SIKU YA MAWASILIANO ILIVYOFANYIKA KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO MAGOMENI MWEMBECHAI MACHI 14,2015
Gospel Flames |
Joshua Ndege akiongoza mjadala wa Mwongozo wa Kujifunza Biblia |
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania Dk Edward Hosea akitoa shukrani kwa washiriki kwa jinsi walivyoshiriki naye katika msiba wa Mama yake Mzazi |
Mgini Kweba akitoa somo la Watoto |
Mch Jonas Singo akihutubia mamia ya waumini wa kanisa hilo ambapo hotuba hiyo pamoja na uimbaji vilirushwa na Morning Star TV |
The Brothers |
Victory Gospel Singers kutoka University of Arusha |
The Living Voices Choir toka Kampala,Uganda wakiimba |
Agape Singers |
Kwaya ya Mogo ya jijini Dar es salaam |
Kwaya ya Magomeni Mwembechai |
Post a Comment