MTANGAZAJI

PICHA:MTANGAZAJI WA MORNING STAR RADIO AFUNGA PINGU ZA MAISHAMtangazaji wa Morning Star Radio Jackson Sekiete amefunga ndoa Machi 8,2015 na Dada Neema katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ushindi lililoko Mikocheni B jijini Dar es salaam,Huduma hiyo ya ndoa ilifanywa na Mchungaji William Mshana.


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.