MWANZA:WAIMBAJI WA KWAYA YA KIRUMBA WAFANYA BONANZA LA MICHEZO
Bonanza la Michezo lililoandaliwa na Kwaya ya kanisa la Waadventista Wa Sabato Kirumba (KAC) la jijini Mwanza, Bonanza hili lilifanyika katika
viwanja vya Bwiru Press likiwahusisha waimbaji wote kwa lengo la kukuza
uhusiano, kujenga miili yao na kuondoa
misongo kutokana na shughuli za kila siku za maisha. Bonanza hilo
lilifanyika mnano Machi 08,2015.
Waimbaji wa KAC walishiriki katika michezo ya riadha-mbio fupi, kuvuta kamba, soka, zoezi la sauti na kukimbia kwa magunia.
Post a Comment