GOMA:MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA KWAYA YA MESSAGE DE TROIS ANGES (MTA) YAFANYIKA GOMA
Cheti cha kuhitimisha miaka 25 ya kwaya Message de Trois Anges kikiinuliwa na viongozi wake Musubao (kushoto) na Mama Okila (Kushoto) |
Ndugu Azarie Kabwe akiwasha mishumaa 25 ya kazi ya MTA akisaidiwa na wach. Ezechiel (kushoto), na Makamu Mwenyekiti Musubao |
Vikapu vilivyochukua DVD za kwaya MTA vikiletwa mbele na Mama Okila (kushoto) pamoja na Mama Kaysondera (kulia) |
Kikombe kilichotolewa na Narada Studio kwa kwaya M TA kama Kwaya iliYopendwa katika mwaka 2014 katika mashindano kwenye Radio Televisheni Sauti ya Matumaini, Goma |
Mwenyekiti wa Kwaya Message de Trois Anges, Azarie Kabwe akiinua kikombe pamoja na waandishi wa habari Marc Nzilamba na Gilb toka Radio Sauti ya Matumaini |
Injili Family Choir nao walikuwepo |
Kwaya IL EST ECRIT, yaani (imeandikwa) ya Virunga Sda French church |
Kwaya Uenezaji Gospel Ikiimba |
Kwaya Rafiki za Yesu waliimba |
Kwaya Yesu Araje ya Kigali, Rwanda ikiimba katika tamasha hilo. |
Hivi karibuni waimbaji wa Kwaya ya Message de Trois Anges ya Goma, DRC walifanya tamasha la kuadhimisha miaka 25 toka kwaya hiyo ilipoanzishwa ambapo walishirikisha waimbaji mbalimbali wa mjini Goma na Kigali,Rwanda kwenye tamasha hilo.
Hivi karibuni utasikia nyimbo mpya za kwaya hii katika kipindi cha Lulu za Injili cha Morning Star Radio
Post a Comment