KWAYA YA TUCASA MABIBO HOSTEL KUZINDUA SANTURI MWONEKANO YA PILI KESHO
Kwaya ya TUCASA Mabibo Hostel inayoundwa na wanafunzi wanaosoma Chuo Kikuu cha Dar es salaam kesho Desemba 21 mwaka huu wanataraji kuzindua santuri ya pili mwonekano yenye nyimbo 10 inayoitwa Usijisifu. Santuri hiyo iliyorekodiwa na JCB Studioz itazinduliwa kuanzia saa 6 mchana lengo likiwa ni kupata fedha za kufanikisha uinjilisti. |
Post a Comment