MTANGAZAJI

PICHA:MAPOKEZI YA MKUU WA MAWASILIANO WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO KANDA YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI ,HUKO MBEYA HII LEO

 
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kanda ya Afrika Mashariki na Kati Mch Steven Bina (Anayevishwa Skafu) amepokelewa hii leo jijini Mbeya  na washiriki pamoja na Viongozi wa Kanisa hilo ambapo atahudumu kwenye makambi ya Mtaa wa Mbeya kuanzia Septemba 7 hadi Septemba 13,2014 kwenye kanisa la Forest.

Katika Mkutano huo pia atashirikiana na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Unioni Misheni ya Kusini mwa Tanzania Mch Rabson Nkoko na Mkurugenzi wa Mawasiliano katika nyanda za Juu Kusini Mch Haruni Kikiwa (Picha zote kwa Hisani ya Mch Haruni Kikiwa)


1.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.