MTANGAZAJI

ARUSHA:PICHA ZA MAKAMBI YA MTAA WA MERU-USARIVER

Wachungaji waliiongoza Ibada


Waimbaji wa  kwaya ya Njoro kutoka Moshi Kilimanjaro


 

Makambi ya Mtaa wa Meru Usariver yaliyofanyika katika kanisa la Waadventista Wa Sabato UsaRiver-Arusha (Picha zote na Abel Kinyongo)

1 comment

kuyenga said...

Kambi limefungwa kwa mafanikio makubwa. Jambo matoleo ya waumini yalikuwa chini sana ya malengo yaliyokuwa yamepangwa na ofisi ya Jimbo, nadhani mambo mengine yalifanikiwa kwa kiwango kikubwa sana. Swali linabaki: KWANINI MALENGO YA MATOLEO HAYAKUFIKIWA???

Mtazamo News . Powered by Blogger.