ARUSHA:VIJANA WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI
Zaidi ya Master Guids 40 wa Chama cha Vijana katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato wamevishwa pini za kiongozi mkuu.Tukio hili limefanyika chini ya kanisa la Waadventista la Chuo Kikuu cha Arusha Mbuga ya kijiji cha Olkungwado Ngarenanyuki.Kanisa hilo lina utaratibu wa kuwapatia vijana mafunzo kutokana umri ikiwa ni njia ya kuwajengea uwezo wa majukumu ya uongozi katika ngazi mbalimbali za kanisa.(Picha zote na Abel Kinyongo)
Post a Comment